Mar 9, 2014

Happy monday

Jumatatu ni siku ambayo with wengi hawaipendi lakini ni Siku ya kwanza ya wiki ambayo mipango yote ndo huwa inatungwa au kuanzia.
Nawatakia jumatatu njema
Don't hate Monday

Mar 2, 2014

Africa wear: kuwa na nguo mchanganyiko kwa occasional tofauti tofauti

Kwa msichana haifai kuwa na nguo za aina moja lazima uwe na tofauti tofauti kwa matukio tofauti.
Nimeshawahi kukutana na watu wanasema hawana gauni, au sketi.
Hii si nzuri kwasababu kuna kutokea msiba au harusi inatakiwa uwe na muonekano tofauti.
So find urs today